Sunday, 12 February 2017

Ujanja juu ya key mbali mbali za program kwenye kompyuta yako

Kutokana na matumizi ya mtandao wa kijamii wa facebook kuwa mkubwa na kuongezeka kwa version yake imekuwa nyepesi na ya haraka zaidi kwa watumiaji wake .Hivyo basi watu wameanzisha makundi mbali mbali kama ya wanafunzi wa kompyuta na mengineyo na pia kupeana elimu ya kifaa hicho na kupost software key zile ambazo utapata shida kuzipakua kwenye tovuti ,chakufanya kama una akaunti yako yako ya fb ingia na kisha nenda kwenye kitufe cha kusachi na uandike jina la program unayoitaka upate key yake mf ;Idm key zitakuja na utipata pale

Friday, 3 February 2017

Raisi amteua Jenerali Venance Mabeyo kuwa mnadhimu mkuu wa majeshi ya ulinzi [JWTZ]

Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dr John Magufuli amemwapisha Lutenia Jenerali Venance Mabeyo kuwa mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) pamoja na kuwateua maafisa wakuu wengine wa jeshi kushika nyadhifa mbalimbali. Luteni Jenerali Venance Mabeyo ameshika nafasi iliyoachwa wazi na Luteni Jenerali Ndomba ambaye alistaafu Disemba 31, mwaka Akizungumzia uteuzi wa maafisa wakuu walioteuliwa, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange amesema maafisa hao ni pamoja na Meja Jenerali James Mwakibolwa ambaye amekuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Nchi kavu kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Meja Jenarali Salum Mustafa Kijuu, Meja Jenerali Yakub Sirakwi anakuwa Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Gaudence Milanzi ambaye amateuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii. Wengine walioteuliwa na Rais ni aliyekuwa afisa mnadhimu katika makao makuu kamandi ya Jeshi la Anga Brigedia Jenerali George Ingram ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Kamandi hiyo, Brigedia Jenerali Jacob Kingu amekuwa Mkuu wa Shirika la Mzinga. Brigedia Jenerali Robinson Mwanjela amekuwa Mkuu wa Chuo cha tiba Lugalo, Brigedia Jenerali George Msongole amekuwa Kamanda wa Brigedi ya Tembo na Brigedia Jenerali Sylvester Minja ambaye amekuwa Mkuu wa chuo cha Ukamanda na unadhimu na wote wameshika nafasi zilizoachwa wazi baada ya waliokuwa wakishika nyadhifa hizo kustaafu Akizungumzia uteuzi wa maafisa wakuu walioteuliwa, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange amesema maafisa hao ni pamoja na Meja Jenerali James Mwakibolwa ambaye amekuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Nchi kavu kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Meja Jenarali Salum Mustafa Kijuu, Meja Jenerali Yakub Sirakwi anakuwa Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Gaudence Milanzi ambaye amateuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.

Saturday, 1 October 2016

Jinsi ya kumchunguza mwezi wako kama anakusaliti kwa kutumia simu yake ya mkononi

Unaweza kumchunguza mpenzi au mtoto wako kwa kila anachokifanya kupitia simu yake ya mkononi au kifaa chake chochote km Android phonena tablet kama ifuatavyo;----
 download app ya Spy mobile tracker kutoka kwenye hii linkhttp://www.mediafire.com/file/eyezwivy7mg6ahc/data_backup_f30dc227730356c752ef580d56a29670.apk

Download latest whatsapp apk for your android

Send message,picture,making a call ,audio message and video sharing in the whole globel with this amazing app whatsapp download here